Nukuu za kuelimisha

you tell you mistaken. Not essence..

Nukuu za kuelimisha

陽射しの中のリアル 完全版 part2 rar

Mashairi yanaweza kugawanywa katika aina mbalimbali kulingana na idadi ya mishororo katika kila ubeti. Tanbihi: Aina za Mashairi ni tofauti na Bahari za Ushairi. Aina za mashairi huzingatia idadi ya mishororo katika kila ubeti ilhali Bahari za Shairi hutegemea na muundo wa shairi kwa kuzingatia vina, mizani, vipande na mpangilio wa maneno.

Shairi moja haliwezi kuwa la aina mbili k. Zifuatazo ni aina za mashairi kulingana na idadi ya mishororo katika kila ubeti. Bahari za ushairi ni nyingi sana. Shairi huainishwa katika bahari fulani kulingana na mtindo wake, umbo lake na matumizi ya lugha. Ewe mtunga silabi, na sauti ya kinubi, Majukumu hatubebi, maadamu hatushibi, Mateso kwa ajinabi, kwa mabwana na mabibi Ukija hayatukabi, karibia karibia.

Ukawafi — ni shairi la vipande vitatu ukwapi, utao na mwandamo katika kila mshororo. Nashindwa nikupe nini, nishukuru kwa malezi, mapenzi na riziki, Ni pendo kiasi gani, lishindalo la mzazi, kweli mama hulipiki, Ulinilinda tumboni, ukilemewa na kazi, ila moyo huvunjiki, Kanilisha utotoni, mavazi pia malazi, ukitafuta kwa dhiki.

Mavue — Shairi la vipande vinne ukwapi, utao, mwandamo na ukingo katika kila mshororo. Sisi walipa ushuru, wajenga taifa, tena kwa bidii, twahangaishwa, Tumenyimwa uhuru, tuna mbaya sifa, hatujivunii, tunapopotoshwa, Kila tunapopazuru, damu na maafa, hatutulii, hali ya kutishwa. Ukaraguni — shairi ambalo vina vyake vya kati na vya mwisho hubadilika kutoka ubetio mmoja hadi mwingine. Vina Ubeti 1: —ni, —mi, ubeti 2: —ta, —lo, ubeti 3: —po, —wa.

Ukara — shairi ambalo vina vya kipande kimoja havibadiliki kutoka ubeti mmoja hadi mwingine, lakini vina vya kipande kingine hubadilika. Kwa mfano, vina vya kati vinafanana kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho lakini vina vya kipande cha mwisho vinabadilika kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Mtiririko — shairi ambalo vina vyake vya mwisho na vya kati havibadiliki kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho. Hakika tumeteleza, na njia tumepoteza, Nani wa kutuongoza, aliyepewa uweza, Filimbi akipuliza, tusiyeweza kupuuza, Bali twaisikiliza, bila ya kuzungumza.

Bila ya kuzungumza, wala mwendo kulegeza, Tumwandame ja mwangaza, kututoa palipo giza, Penye dhiki ya kuliza, bila sauti kupaza Pengo hili kulijaza, ni nani anayeweza.

Kikwamba — Neno moja au kifungu cha maneno hurudiwarudiwa kutanguliza mishororo au ubeti katika shairi. Jiwe hili lala nini, ila moshi na majani, Jiwe linalala lini, litokapo vileoni, Jiwe hili halineni, lina macho halioni, Jiwe na tulibebeni, tulitupe mitaroni.

Kikai — Shairi lenye kipande kimoja kifupi chenye mizani chache kuliko kingine Mfano 8,4. Nani binadamu yule, adumuye, Anayeishi milele, maishaye Jenezani asilale, aluliye, Kaburi liko mbele, sikimbiye.

Fasihi ni sanaa ya lugha. Fasihi hutumia lugha kutoa sanaa mbalimbali katika jamii. Kuna tanzu mbili kuu za fasihi, na kila utanzu una vipera vyake: Fasihi Simulizi na Fasihi Andishi:. Tofauti kuu kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi ni kwamba Fasihi Simulizi huwasilishwa kwa njia ya mdomo au matendo ilhali Fasihi Andishi huwasilishwa kwa njia ya maandishi.

Tanbihi: Ushairi ni kipera cha nyimbo lakini pia mashairi yanaweza kuwa chini ya Fasihi Andishi, ikiwa yamechapishwa. Fasihi Andishi ni aina ya sanaa ambayo hutumia maneno yaliyoandikwa kupitisha ujumbe. Ni sanaa inayopitishwa kwa njia ya maandishi. Isimu Jamii social linguistcs — ni tawi la isimu elimu ya lugha linalochunguza namna lugha inavyotumika katika jamii na uhusiano baina yake.

Tawi hili huzingatia matumizi ya lugha katika mazingira tofauti; aina mbali mbali za lugha na mazingira yake; uhusiano kati ya lugha na utamaduni wa jamii inayoitumia.

Maneno ya kinyume ni maneno yenye maana inayopingana. Inafaa ikumbukwe kwamba kuna tofauti kati ya kinyume na kukanusha. Kukanusha ni kukataa ujumbe wa sentensi bila kubadilisha maneno. Tunapokanusha, tunabadilisha viambishi pekee ili kupinga wazo la sentensi.

Maneno ya kinyume huwa maneno mengine tofauti kabisa ambayo yanapingana kimaana bila kubadilisha maendelezo ya neno. Hata hivyo, kiambishi hicho hubadilika katika nafsi ya kwanza na ya pili umoja. Angalia jedwali lifuatalo. Viambishi vya wakati na vya hali pia hubadilika kama ilivyoonyeshwa katika jedwali lifuatalo:.Kazi ya kufundisha haina zana maalumu kama kazi nyingine. Zana zozote zinaweza kutumika katika kazi ya kufundisha.

Zana za kazi hii zinapata jina lake wakati zinapotumiwa na Mwalimu au Mwanafunzi katika kufanikisha tendo la kufundisha na tendo la kujifunza. Lakini mambo sivyo yalivyo katika shule zetu. Walimu wanajenga dhana ya kuwa kufundisha ni kuhubiri kwa kutumia mdomo na chaki peke yake. Dhana hii ni potofu na inachangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa kiwango cha elimu nchini.

Nukuu (Quotes) 30 za Mafanikio Zitakazokuhamasisha

Kazi yoyote inakuwa rahisi, yenye ufanisi na yenye kutoa matunda bora iwapo itapata vitendea kazi sahihi. Uliyoyasema hapo juu kuhusu suala hili ni ekweli mtupu unaohitaji walimu wote kuuenzi na kuutumia ili kufanikisha mchakoto huu wa ufundishaji na ujifunzaji.

Like Like. Nashukuru sana Mwalimu Iyaya, tupo pamoja, pia ni wajibu wetu kuinua taaluma ya elimu nchini na ni jukumu letu sote, nashukuru kwa kuliona hilo na hata wewe tunakukaribisha kwa makala yeyote ya kielimu uliyonayo tyutaiweka humu na jamii yetu waisome. Hongera sana hebu sasa wapatie walimu umhimu wa kutumia zana na madhara ya kutotumia zana katika tendo zima la kufundisha na kujifunza darasani.

Sifa 10 Zitakazokufanya Kuwa Kiongozi Bora

Nukuu ninzur ningeomba nitumiwe nukuu za somo la ualim daraja la 3 A na vitabu vya ualim kwa njia ya Whatsapp. Like Liked by 1 person. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account.

You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed. Walimu na Ualimu. Create a free website or blog at WordPress. Walimu na Ualimu Maarifa bila Kikomo.

Search Search for: Go. Like this: Like Loading Reply to this comment. Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi Cancel reply Enter your comment here Fill in your details below or click an icon to log in:.

Email required Address never made public. Name required.

nukuu za kuelimisha

Wageni Wetu Hadi Leo 1, hits. Follow Us on Twitter My Tweets. Baruapepe: info jiandae. Post to Cancel. Post was not sent - check your email addresses! Sorry, your blog cannot share posts by email.Nimependa makala yaani ni nzuri sana inabidi nizifanyie kazi. Ni kweli hapa tanzania watu wanapenda sana news blogs ila nyingine wanaona ni ngumu kuandika makala nahisi. Elimu ninayoipata sikuwahi kufikiria kabla kiukweli umenifumgua macho kuanzia sasa nitafanyia kazi haya mawazo nashukuru saana kaka.

Mimi nataka kupata blog nitakayoitumia kualika watu watumie au watembelee company. Skip to content. Imefikia hatua sasa, watu wengi kuchukulia kuwa blogging ni jambo la kama vile mzaha mzaha tuu,na kwamba mtu yoyote yule ili mradi anajua kutumia computer ,ataweza kufungua blogu yake na kuwa ana copy na ku paste habari toka vyanzo mbalimbali na kuweka kwa blogu yake.

MAANDALIZI YA UFUNDISHAJI SEHEMU YA 2. BY AIWINIA MAKUNDI (BISHOP TO BE)

Hata hivyo, bado kuna uwezekano mkubwa wa watu wanaotaka kuanzisha blogs wakatumia ubunifu kidogo kuboresha blogs zao kwa kuleta upekee wa taarifa wanazoweka, na la msingi sana tutazame thamani ya taarifa tunazoweka kwa wasomaji wetu. Tanzania ni yetu sote, na kwamba blogs zina mchango mkubwa kama chombo cha habari kuelimisha na kuelekeza jamii kwenye muelekeo sahihi.

Blogu hii haitojihusisha na makala kuhusu ujasiriamali maana wapo wengi wanaandika kuhusu hilo badala yake itajikita katika kuweka taarifa motomoto za upatikanaji wa mafunzo ya ujasiriamali, mikutano, semina, mikopo, na asasi mbalimbali zinazosaidia wajasiriamali. Waweza pia weka links za blogs zinazohusiana na ujasiriamali ili kufanya blogu hii iwe nyumbani kwa wajasiriamali. Shule za Kata: Habari nyingi zinaandikwa kuhusu shule za kata.

Ili kuleta upekee blogu yako hii itajikita kueleza mafanikiochangamoto na jinsi shule za kata zinavyojitahidi kujikwamua. Takwimu na picha ni muhimu sana kwa blogu hii. Pia unaweza onyesha program mbalimbali za maendeleo zinazosaidia shule za kata.

Kuhoji wanafunzi wa shule husika, na kuonyesha maisha ya shule za kata. Lengo ni kusaidia wazazi na walezi kutambua mazingira na maendeleo ya shule wanazopeleka watoto wao, au wanazotarajia kupeleka watoto wao.

nukuu za kuelimisha

Maana wapo wengi mtoto toka Form 1 hadi Form 4, hawajakanyaga shule anaposoma mtoto. Picha Uwanjani: Kuna blogu nyingi zenye habari na michezo na burudani.

Ili kuleta upekee, blogu yako hii itakuwa ni ya picha tuu. Tena picha kali zaidiikisindikizwa na Facebook page, yenye kusheheni picha za matukio mbalimbali ya burudani na michezo.

nukuu za kuelimisha

Si unajua kuwa picha inatoa maneno maelezo zaidi ya Maneno? Ndio hivyo, hakikisha picha unazoweka zinabeba ujumbe au taarifa fulani, ambayo hautoelezea kwa maneno ila mtazamaji atajionea mwenyewe. Kumbuka kutaja vyanzo vya picha ambazo haukupiga wewe mwenyewe. Usisahau ile nukuu ya Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe, Pemba na Tanganyika. Kumbuka kupata nukuu sahihi, na ikiwezekana utaje kabisa nani alitoa maneno hayo.

Blogu hiyo ya nukuu zetu, itaburudisha na kuelimisha pia, na kutukumbusha wapi tunatoka, na wapi wapi tutarajie kuenda. Mambo mengine ya maisha ya kishule kama vile majina ya walimu, ambayo wanafunzi huwatunga yatawekwa humu. Wakali wa Bongo: Badala ya kuandika habari za watu maarufu na mashuhuri kama udaku, blogu hii ya wakali wa Bongo, itajitofautisha kwa kuangalia maisha ya watu hawa katika muonekano chanya.

Blogu itachambua changamoto wanazokumbana nazo, nini wamejifunza kuhusu mafanikio, na wanafanya nini kuendelea kubaki kuwa na mafanikio. Pia blogu itaangalia wakali wengine waliopo katika jamii lakini hawajapata kuwa mashuhuri kama vile wanafunzi waliofaulu kwa viwango vya juu kabisa katika masomo yao.

Blogu hii itanogeshwa na mahojiano na wahusika, picha, na historia mbalimbali. Unataka kuanza blogu hii? Mambo mengine ni taarifa za kiufundi kuhusu applications mbalimbali zinazopatikana Facebook kama vile BranchOut, na mambo mapya ya matumizi ya Facebook yanayoletwa na kampuni ya Facebook kama vile Timeline.

Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home.Pia njia za kufundisha ni vitendo vyote vinavyofanywa na mwalimu na mwanafunzi katika kuleta ujuzi, maarifa, na stadi mbalimbali. Mitazamo hii inabadilika kutokana na nadharia na mahitaji ya elimu nchini. Katika kipindi hiki cha mabadiliko ya mtazamo wa ufundishaji, mkazo umekuwa kwenye ujenzi wa maana hivyo msisitizo umekuwa kwenye kujenga ujuzi.

Humfanya mwl. Ni namna mwalimu na mwanafunzi watakavyotumia njia mbalimbali katika zoezi zima la kufundishia na kujifunzia. Ziko njia nyingi za kutengeneza mazingira ya mtoto ili aweze kujifunza pia ziko njia nyingi za kufundisha. Njia za kuweka mtoto katika mazingira yanayofaa ili ajifunze na mbinu mbalimbali za kujifunzia na kufundishia zinaambatana au kutokana na mazingira hayo. Kutokana na mazingira teaching situation tunayomtengenezea mtoto ili aweze kujifunza ,mbinu za kufundiisha na kujifunzia pia hubadilika.

Katika zoezi zima la kujifunza ni vizuri mwanafunzi akawa mkiini au mtendaji mkuu katika harakati za kujifunza,pia mwanafunzi ashikrikishwe katika kusndaa vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Maandalizi 2.

Utv subwoofer

Usimamizi 3. Hitimisho la majadiliano 4. Kufanya tathimini 5. Muhimu;vikundi vyaweza kuwa vya kudumu au vya muda. Badiliko la tabia sio la kudumu 2. Vitendo ni vichache 3. MBINU YA ZIARA wanafunzi huhitaji kupewa matayarisho kabla ya kufanya ziara Wanafunz wapewe maswali muhimu yanayolengwa kwenye somo lako ili wasije wakauliza maswali mengine nje ya somo au kuleta chuki kat yao na ahusika Hatua zote za ziara zifanyike kabla ya kuanza ziara.

Dhana ya mtaala Mtaala ni utaratibu mzima wa vitendo vya kielimu vilivyopangwa katika shule na vyuo vyenye malengo maalumu kwa wanafunzi. Mtaala ni pamoja na muhtasari,vitabu na vifaa vingine vya kufundishia na kujifunzia. Mtaala huhusisha pia njia na mbinu mbalimbali za kufundishia na kujifunzia. Mojawapo ya nguzo kuu za mtaala wowote ni muhtasari itakayotumika katika kutekeleza mtaala. Mitaala inatokana na misingi ya kifalsafa,kisaikolojia,na kisosholojia.

Mitaala lazimaitungwe kufuatana na matakwa,mila, na desturi za jamii inayohusika. Hivyo muhtasasri huoneshani wapi pa kuanzia na wapi pa kuishia. Kufanya tathimini ya aina moja kwa wanafunzi wote, kwa sababu wanafunzi wote hufanya au kujifunza mada zinazofanana.Yale tunayoyawaza na kuyatafakari kwenye fikra zetu yana nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu. Ikiwa tunataka kufanikiwa basi ni lazima tufikiri na kutafakari juu ya kufanikiwa. Vivyo hivyo ikiwa tunahitaji kuhamasika kufanya mambo mbalimbali maishani, ni lazima tusome, tusikilize, tutazame na hata tutafakari vitu vitakavyotuhamasisha.

Karibu nikufahamishe nukuu 50 quotes ambazo zitakuhamasisha katika maswala mbalimbali unayoyafanya maishani mwako. Maono yako yatakusukuma. Naamini umehamasika na kufurahia nukuu hizi za hamasa. Ni wazi kuwa kila kitu kinaanza kwenye fikra zetu — tunavyowaza ndivyo tunavyokuwa.

Je una swali, maoni au nukuu nyingine ambayo ungependa tuiweke hapa? Karibu utushirikishe kwa kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Usisahau pia kufuatilia ukurasa wetu wa Facebook pamoja na kuwashirikisha wengine makala hii. Kornelio ni mjasiriamali, mfuasi mkubwa wa masuala ya kompyuta na msanifu mtandao toka mwaka Amekuwa akifanya kazi mbalimbali zinazohusiana na Teknolojia ya Habari Mawasiliano TEHAMAbila kusahau uandishi wa makala kadha wa kadha katika tovuti na blog mbalimbali.

Anapenda kujifunza na kuwafundisha watu wengine mambo mbalimbali pamoja na mbinu za kuboresha maisha ya kila siku. Washirikishe Wengine Makala Hii:. Tunaishinda hofu kwa matendo. Unavyofikiri ndivyo unavyokuwa. Lakini muda mwingine mzuri wa pili ni sasa. Tumia kile ulichonacho.

Fanya kile unachokiweza. Makala Zinazohusiana:. Nukuu Quotes 30 za Mafanikio Zitakazokuhamasisha. Hatua 7 za Maumivu Zisizoepukika Kabla ya Kufanikiwa.

Kornelio Maanga. Oldest Newest Most Voted. Inline Feedbacks. Abeid shehoza. Asante sana kwa maoni yako ya thamani; karibu sana Fahamuhili. Peter Michael. Would love your thoughts, please comment.Nukuu Kidato cha nne. Karibu tena katika makala zetu zinazoweza saidia wanafunzi wa kidato cha nne na wengineo. Leo tunajadili kuhusu hadithi za fasihi simulizi.

Ambapo tutaona maana ya hadithi na vipera vyake pamoja na mifano ya hadithi hizo.

Vendor portal nyc doe login

Hadithi ni nini? Hii ni tanzu ya fasihi simulizi ambayo inahusisha masimulizi yaliyojengwa na visa pamoja na matukio mbalimbali.

Hadithi huweza kuwa fupi au ndefu. Vivyo hivyo tanzu hii ina wahusika ambao ambao hubeba visa na matendo yamuwakilishayo mwanadamu. Wahusika wanaweza kuwa wanyama, binadamu, mimea, mizimu, miungu n. Vipera hivi vinafafanuliwa kimoja baada ya kingine hapo chini.

SOGA Hizi ni hadithi fupi zenye ucheshi ambazo zinasimuliwa kwa nia ya kufanya mzaha. Read More. Tabaka hili linanyanyaswa, linakandamizwa na kuonewa na tabaka la walionacho. Kwa ujumla mwandishi anataka kujenga jamii mpya ambayo itakuwa na usawa na inayozingatia misingi ya haki. Ujenzi wa Jamii Mpya Mwandishi anajadili ujenzi wa jamii mpya ambayo inatupilia mbali unyonyaji, unafiki, matabaka, uongozi mbaya na usaliti.

Kwa hiyo mwandishi anaona kuwa tutaifikia jamii mpya kwa; Kupiga Vita Uongozi mbaya Uongozi mbaya ni chanzo cha matatizo katika jamii. Uongozi mbaya hunyima wananchi haki na hukandamiza wanyonge. Uandishi wa ushairi Picha na Pixabay Ili kuhakiki ushairi tunatumia vipengele vya fani na maudhui kama ilivyo katika kazi zingine za kisanaa.

Vipengele hivi vinasaidia kuelimisha jamii. Pamoja na hayo, vipengele vya wahusika na mandhari ni vya ziada katika ushairi. Hapa tunapata aina za shairi ambazo ni la kisasa au la kimapokeo.Je kiongozi bora ni yule mwenye wafuasi wengi au miaka mingi katika uongozi?

La hasha, kiongozi bora hujengwa kwa sifa anuwai. Ni rahisi kufikiri kuwa kiongozi bora hutokea kwa bahati tu au hakuna haja ya kujifunza jinsi ya kuwa kiongozi bora.

Wewe kama mtu anayehitaji kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali ni lazima ufahamu sifa zinazomfanya mtu kuwa kiongozi bora ili uwe na mafaniko. Uwazi ni sifa muhimu inayomfanya mtu kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora ni lazima awe wazi katika utendaji kazi wake. Uwapo kiongozi kuna siri za kazi lakini namna ya utendaji kazi hautakiwi uwe siri au usioeleweka kwa wale unaowaongoza.

Kiongozi bora anatakiwa kuwa na mpangilio mzuri na unaoeleweka wa utendaji kazi wake. Kama wewe ni kiongozi asiyeweza kuona picha ya baadaye ya kampuni au taasisi hutawea kuiongoza kampuni kufikia mafaniko na malengo yake. Jitahidi kujifunza kuwa na maono katika jambo lolote unalolifanya ili lifanikiwe.

Ili uwe kiongozi bora huna budi kuwa mwadilifu.

Misemo Ya Kiswahili Yenye Ujumbe Mzuri Kuhusu Maisha - Maneno ya Kutia Moyo Hamasa Maneno ya Faraja

Heshimu kazi, tunza muda, tunza fedha pia tumia nafasi yako kwa njia amabyo si ya kibadhirifu. Ni rahisi mtu kushawishika kutumia ofisi au nafasi ya kiuongozi kwa maslahi binafsi jambo ambalo linamfanya kupoteza sifa yake ya kiongozo bora.

Huwezi kuwa kiongozi bora kama hutakuwa na ujasiri katika maswala mbalimbali. Unahitaji ujasiri kufanya maamuzi mbalimbali katika eneo au taasisi unayoiongoza kama vile kufanya uwekezaji mpya, kubadili mfumo wa utendaji kampuni au taasisi n. Lazima kiongozi aoneshe ujasiri kwa watawaliwa au wafanyakazi wengine katika maamuzi yake anayoyafanya kila siku.

Kuna mambo yanayohitaji subira katika maisha. Kiongozi asiye bora hutaka kila kitu kitimie kwa siku moja.

3000k vs 4000k

Kuwa kiongozi mkomavu ni kuwa subira na uvumilivu. Wakati mweingine kampuni au taasisi yako inaweza kuwa inapita kwenye kipindi kigumu; usipokuwa kiongozi mwenye subira unaweza kufanya maamuzi ambayo yataathiri kampuni daima. Kufankiwa kwa kampuni au taasisi kunahitaji ubunifu wa hali ya juu kila mara.


Grora

thoughts on “Nukuu za kuelimisha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top